Mayele amekaa katika nafasi yake sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2022
Mayele amekaa katika nafasi yake sasa

Mshambuliaji Fiston Mayele ameshakaa kwenye usukani katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu akimfikia mzawa Reliants Lusajo

Nyota hao wote wamefunga mabao 10 lakini Mayele ametoa pasi tatu za mabao wakati Lusajo ametoa pasi mbili

Mayele amesema ushindani ni mkali lakini amejipanga kuhakikisha anaibuka kuwa mfungaji bora

"Ushindani ni mkali, George Mpole, Lusajo wote ni washambuliaji wanaofanya vizuri. Kwa upande wangu nitahakikisha nafunga kila ninapopata nafasi muhimu zaidi ni kuona Yanga inafanya vizuri," alisema Mayele

Mayele alitua Yanga akitokea klabu ya AS Vita, mabingwa wa ligi kuu ya DR Congo ambapo msimu uliopita alishika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora wa ligi hiyo akifunga mabao 14

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’