Geita Gold vs Yanga kupigwa CCM Kirumba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Feb 2022
Geita Gold vs Yanga kupigwa CCM Kirumba

Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga jana walianza vyema duru ya pili wakishinda mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni ushindi uliowakita kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya watani zao Simba wanaoshika nafasi ya pili wakisubiri kucheza mchezo wao wa kiporo dhidi ya Biashara United March 03

Yanga itaendeleza msako wa ubingwa March 06 ambapo Wananchi watasafiri jijini Mwanza kuifuata Geita Gold kwa ajili ya mchezo wa raundi ya 17

Mchezo huo umehamishiwa uwanja wa CCM Kirumba, Geita Gold wakiwa wenyeji

Yanga na Geita wana dakika 180 za kuonyeshana umwamba kwani April 13 watakutana tena kwenye mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’