Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga, Yusuph Athuman
Majeraha ya mara kwa mara yamemkosesha nafasi ya kuonyesha kipaji chake katika kikosi cha Yanga
Ni mmoja wa vijana wenye vipaji waliolelewa na Yanga akianzia timu ya vijana Yanga B kabla ya kusajiliwa na Biashara United
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY YUSUPH
ADVERTISE HERE