Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kuishangilia timu yao katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Kama uko Dar es salaam na bado hujakata tiketi basi wakati ni sasa, kamati tiketi yako ili uwe sehemu ya mashabiki watakaoiunga mkono Yanga pale kwa Mkapa
Huu ni mchezo wa kwanza wa duru ya pili Yanga ikihitaji kushinda ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi
Viingilio VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mechi za Yanga sio za kukosa kwani zimesheheni burudani ya aina yake!
ADVERTISE HERE