Kuelekea Mkutano Mkuu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2022
Kuelekea Mkutano Mkuu Yanga

Mpaka kufikia March 30, 2022 Matawi yote nchini yanatakiwa kuwa yamekamilisha kuhakiki Wanachama wake na kuhakikisha kila tawi lina Wanachama wasiopungua 100 kwa mujibu wa ibara 6(4) ya Katiba ya Yanga

Hadi kufikia tarehe 30 April 2022 matawi yote yanatakiwa kuwa yamefanya uchaguzi kukidhi matakwa ya ibara ya 62(3) ya Katiba ya Yanga

Mchakato wa uchaguzi Mkuu wa Yanga unatarajiwa kuanza May 2022 ambapo viongozi wa Yanga watapatikana kulingana na utaratibu mpya ulioainishwa kwenye Katiba

Wakati huu viongozi wa Matawi wanapaswa kuendelea kuandikisha Wanachama kwenye matawi yao ili kufikisha idadi iliyowekwa ndani ya Katiba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’