Yacouba aongezewa siku 45 za kuimarika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2022
Yacouba aongezewa siku 45 za kuimarika

Mshambuliaji Yacouba Songne amepona majeraha na ameanza mazoezi baada ya kuwa nje kwa takribani miezi mitatu

Hata hivyo mshambuliaji huyo bado hajaonekana kikosini katika mechi licha ya kuonekana mazoezini

Daktari wa viungo wa Yanga Youssef Ammar amesema Yacouba anahitaji kuimarika zaidi kiafya kabla ya kuanza kucheza mpira

Amesema Yacouba alifanyiwa upasuaji mkubwa wa goti, amepewa program maalum ya mazoezi atakayofanya kwa siku 45

Aina ya mazoezi ambayo anafanya sasa ni kukimbia mbio fupi na ndefu pamoja na mazoezi ya Gym ili kuimarisha mwili hasa mguu wake wa kulia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’