Buswita kuikosa Azam FC, nafasi kwa Said Mussa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2018
Buswita kuikosa Azam FC, nafasi kwa Said Mussa
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pius Buswita ataukosa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam FC baada ya kuonyeshwa kadi ya tatu ya njano katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.

Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Taifa juzi Jumapili, Buswita alifunga bao pekee lililoipa ushindi Yanga.

Kukosekana kwa Buswita kwenye mchezo huo huenda kukatoa nafasi kwa kinda aliye katika kiwango bora Said Mussa.

Mussa amekuwa akifanya vizuri kwenye michezo aliyocheza tangu michuano ya kombe la Mapinduzi.

Aidha Obrey Chirwa anatarajiwa kurejea kwenye mchezo dhidi ya Azam FC baada ya kumaliza adhabu yake sambamba na Kelvin Yondani
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
36m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’