Kwa hili TFF, Bodi ya Ligi wajitafakari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2022
Kwa hili TFF, Bodi ya Ligi wajitafakari

Ukiangalia sababu zilizotolewa na GSM kufikia uamuzi wa kusitisha mkataba wa udhamini wa ligi kuu ya NBC, asilimia 99 zimechangiwa na ukaidi wa Simba katika kutekeleza makubaliano ya mkataba huo

Umefika wakati sasa wenye dhamana ya usimamizi wa soka wajitafakari kama wanastahili kuendelea kushikilia nafasi walizonazo

Klabu moja inawezaji kuamua hatma ya timu nyingine 15? Yani kwa sababu wao hawaukubali mkataba basi na wengine wasiukubali?

Timu 15 zilizokuwa zimeanza kutekeleza makubaliano ya mkataba zinakosa pesa kwa ajili tu TFF imeshindwa kusimamia makubaliano baina yake na mdhamini

SABABU ZILIZOPELEKEA GSM KUVUNJA MKATABA

1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya udhamini

2. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bango la mandhari la wadhamini kwa mikutano yote inayohusisha Simba hii ni kinyume na kifungu namba 4.8 cha makubaliano ya mkataba

3. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye mabango ya mikutano ya kabla na baada ya mechi mwenye mechi zinazoihusisha Simba

4. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bega la kushoto la jezi za Simba

5. TFF wameshindwa kujibu juu ya malalamiko yetu na kushindwa kurekebisha ukiukwaji wa makubaliano kama tulivyowasilisha taarifa ya ukiukwaji tarehe 14 Desemba 2021

6. TFF imeshindwa kutimiza kanuni zake juu wadhamini

7. Nembo za GSM na Chapa yake zimekuwa haziheshimiwi na maafisa wa TFF mara kwa mara

8. TFF imeshindwa kuweka usawa kwenye mechi za ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’