Mawindo ya Biashara United yameanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2022
Mawindo ya Biashara United yameanza

Baada ya kulazimishwa suluhu ya bla kufungana dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga kimehamishia nguvu zake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Jumanne ijayo, Februari 15 2022 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Biashara United katika mchezo wa raundi ya tano ya michuano hiyo

Matokeo ya ushindi yataishuhudia Yanga ikitinga robo fainali ya michuano hiyo ambayo bingwa ataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Kikosi cha Yanga kimerejea kambini Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’