App yetu ya Yanga Damu imeendelea kuboreshwa kadiri inavyohitajika, leo, Agosti 03 toleo namba 1.1.7 limewekwa Play Store.
Kama huja Update, Fungua ukurasa wa pembeni(SideBar) wa App yako halafu bonyeza Update. Utapelekwa moja kwa moja Play Store kisha bonyeza tena Update.
Ni muhimu ku Update App yako kila toleo jipya linapowekwa Play Store ili usikose uhondo.
Pia maboresho ni muhimu kwani yanaondoa matatizo madogo madogo kila yanapobainika.

ADVERTISE HERE