Kuzishuhudia Yanga vs Mbeya City buku Tano tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2022
Kuzishuhudia Yanga vs Mbeya City buku Tano tu

Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga kesho Jumamosi watashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mbeya City ukiwa ni mchezo wa raundi ya 14

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huko utakaopigwa kuanzia saa moja usiku

Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 15,000/- huku VIP B na C kiingilio ni Tsh 10,000/-

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu yao akiahidi kandanda safi litakaloambatana na ushindi mnono

Yanga inahitaji kushinda ili kurejesha tofauti ya pointi dhidi ya watani zao Simba palepale kwenye alama 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
36m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
41m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’