Yanga yarejea Dar kuiwinda Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2022
Yanga yarejea Dar kuiwinda Mbeya City

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao Fc jana na kufanikiwa kutinga raundi ya nne michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC), kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Mwanza kurejea jijini Dar es salaam

Yanga inarejea kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa Jumamosi ijayo, Februari 05 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wananchi wamepania kumaliza mechi za duru ya kwanza pasipo kupoteza mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’