Kwa heri Mukoko Wananchi tutakuenzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2022
Kwa heri Mukoko Wananchi tutakuenzi

Kundoka kwa Mukoko Tonombe kumewaumiza mashabiki wengi wa Yanga waliokuwa wakimkubali sana Mcongomani huyo

Mukoko alisajiliwa na Yanga miezi 18 iliyopita katika mpango wa kuisuka upya Yanga akitua sambamba na Tuisila Kisinda

Hawa ndio wachezaji waliopata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki sambamba na Carlinhos ambaye hakumaliza hata msimu mmoja

Mukoko aliipenda Yanga kama vile mashabiki walivyompenda. Alitumika katika kipindi kigumu, Wananchi wakajenga imani kubwa kwake nae hakuwaangusha

Hiki kimekuwa kipindi kigumu sana kwake kuwaaga mashabiki waliokuwa wakimpenda sana lakini maisha lazima yaendelee

Naamini uongozi wa Yanga umeridhia kumuacha Mukoko kwa kuangalia maslahi ya pande zote

Kwa jinsi safu ya kiungo ya kikosi cha Yanga ilivyo sasa, ilikuwa sio rahisi kwa Mukoko kuhakikishia nafasi ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza

Yannick Bangala na Khalid Aucho wanafanya vizuri sana, hakuna kocha anayeweza kuwaacha nje katika timu yake

Zawadi Mauya pia kiwango chake kimeimarika sana, amekuwa mbadala wa karibu zaidi kuliko ilivyokuwa kwa Mukoko

Yanga pia imemsajili Salum Abubakar 'Sure Boy' mchezaji mwenye sifa zinazishabihiana na viungo hao

Mukoko alihitaji kucheza, TP Mazembe wamemuhakikishia nafasi ya kucheza kwani pengine ataendelea kuilinda nafasi yake katika timu ya Taifa

Kwa wakati huu, mfumo wa kocha Nabi umeonekana kutomuhitaji, pengine anaweza kuhitajika wakati mwingine na nafasi ya kurejea ipo 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’