Baridi imekuwa kali kileleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2022
Baridi imekuwa kali kileleni

Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania leo unaiweka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 10 baada ya kufikisha alama 35

Simba imeendelea kusalia katika nafasi ya pili ikiwa na alama 25, wakiwa na mchezo mmoja wa kiporo dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Januari 26 huko Bukoba

Utasikia huko kwenye vijiwe vyao wanajipa moyo kuwa "Yanga ni kawaida yao kuongoza lakini hawawezi kuchukua ubingwa"

Na sisi Wananchi tunasema waendelee kujipa moyo hivyo hivyo lakini wafahamu Yanga hii ya sasa kuiombea ipoteze alama ni sawa na fisi anayevizia mkono wa binadamu anayetembea akidhani utadondoka wakati wowote

Kumbe hajui mkono upo mahali pake! Yanga hii imedhamiria kushinda ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’