Mwamnyeto, nahodha kiongozi wa mfano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2022
Mwamnyeto, nahodha kiongozi wa mfano

Najua watabisha! lakini nawahakikishia Bakari Nondo Mwamnyeto ndiye beki bora katika ligi kuu ya NBC mpaka sasa

Akiwa nahodha wa Yanga, Mwamnyeto sasa amekomaa, kiwango chake kimeimarika mara dufu msimu huu

Jana katika mchezo dhidi ya Coastal Union pengine alipaswa kukabidhiwa tuzo ya nyota wa mchezo

Mwamnyeto ambaye hapa Tanga ndipo alipozaliwa, alionyesha umahiri wake katika kucheza na kuiongoza timu

Alifika kwenye kila tukio na kuzungumza na wachezaji wenzake na hata mwamuzi pale alipofanya maamuzi yenye mashaka

Alijua vyema presha ya mchezo maana amecheza mechi nyingi hapo Mkwakwani tangu akiwa mchezaji wa Coastal Union

Hii Yanga ina watu aisee, kila idara imekamilika..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
52m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’