Mshery anarudi tena Mkwakwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2022
Mshery anarudi tena Mkwakwani

Jumapili, January 16 2022, Wananchi watakuwa mkoani Tanga kupepetana na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mchezo mwingine ambao Yanga inazihitaji alama zote tatu ili kuhakikisha wanaendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Aidha mlinda lango Abdultwalib Mshery atarejea tena kucheza uwanja wa Mkwakwani msimu huu lakini safari hii akiwa na Yanga

Mchezo wake wa mwisho kabla ya kusajiliwa na Yanga, ulikuwa dhidi ya Coastal Union wakati akiwa na Mtibwa Sugar

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Mkwakwani ulimalizika kwa Mtibwa Sugar kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Mshery aliibuka kuwa nyota wa mchezo huo kwani pamoja na mashambulizi mengi yaliyofanywa na Coastal Union, alikuwa imara langoni kuondoa hatari zote

Jumapili anarejea tena Mkwakwani lakini sasa akiwa katika uzi wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’