Kila la kheri Diarra Afcon 2021

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2022
Kila la kheri Diarra Afcon 2021

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Mali kitakachocheza mchezo wa kwanza wa michuano ya Afcon 2021 dhidi ya Tunisia

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni kwa saa za Tanzania ambapo kule Cameroon itakuwa saa nane

Baadae saa moja usiku kutakuwa na mchezo mwingine kati ya Mauritania dhidi ya Gambia ambao utawakutanisha makocha waliowahi kuzinoa klabu za Yanga na Simba

Gambia inanolewa na kocha wa zamani wa Yanga Tom Santief huku Didier Gomes akiinoa Mauritania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’