Yanga yaichunguza St Louis

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2018
Yanga yaichunguza St Louis
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameanza kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuanza kuifutalia St Louis kimyakimya.

Mmoja wa viongozi wa Yanga aliweka bayana kwamba tayari wameanza kuifuatilia timu ambayo watakutana nayo mwezi ujao. Alisema maandalizi yao ya awali ni pamoja na kuwafahamu vyema wapinzani wao.

Kikosi hicho cha Jangwani kinatarajiwa kuingia uwanjani kwa ajili ya mchezo wao na St Louis mwezi ujao Februari 27, mechi ambayo itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar esa Salaam.

Miongoni mwa mambo ya muhimu ambayo benchi la ufunfi linayaanya kuelekea mchezo huo ni pamoja na kutaka kufahamu mbinu za wapinzani wao na aina ya mpira wanaocheza.

Pia lengo la kuanza maandalizi hayo ya awali ni kutaka kujua hoteli ambayo watafikia ili kuekupa kufanywa fitina za nje ya uwanja.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’