Babu Hans amepata ajali ya soka uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2018
Babu Hans amepata ajali ya soka uwanja wa Taifa
Singida United imechapwa mabao 4-0 na Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 13, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Taifa.

Licha ya kuwa na kikosi kizuri, safu ya ulinzi ya Singida United ilifanya makosa mengi yaliyopelekea kuadhibiwa vikali na Simba, vinara wa ligi.

Watani msimu huu wanaonekana kujipanga vizuri kwani hawafanyi makosa mengi wanapocheza kwenye uwanja wa nyumbani.

Mapema kabla ya mchezo huo Majimaji iliilazimisha sare ya bao 1-1 Azam FC.

Ushindi huo wa Simba unaifanya ibaki kileleni ikiwa na alama 29 huku Azam ikiwa nafasi ya pili na alama 27.

Tofauti ya pointi kati ya Yanga na Simba sasa ni saba huku kila timu ikiwa imebakisha michezo miwili kukamilisha mzunguuko wa kwanza.

Yanga inahitaji kuibuka na ushindi katika michezo hiyo itakayopigwa jijini Dar es salaam ili kuweka hai matumaini 'finyu' ya kutetea ubingwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’