Bodi ya Ligi yaitoza Yanga faini Tsh Mil 1

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jan 2022
Bodi ya Ligi yaitoza Yanga faini Tsh Mil 1

Klabu ya Yanga imetozwa Tsh Milioni 1 kwa kosa la kuingia uwanjani (Benjamin Mkapa) kwa kutumia mlango usio rasmi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao ulipigwa Disemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni baada Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu kilichoketi Disemba 30 kupitia mwenendo wa matukio mbalimbali ya ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
25m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’