Kibali cha Lwandamina kupatikana leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2018
Kibali cha Lwandamina kupatikana leo
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kuanza majukumu yake katika klabu Yanga kwa uhuru baada ya mchakato wa kuhuisha kibali chake kukamilika leo.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema kocha huyo raia wa Zambia anatarajiwa kupata kibali cha kufanya kazi nchini leo.

Jana Lwandamina aliishuhudia Yanga ikitoka suluhu ya 0-0 na Mwadui FC akiwa jukwaani.

Lwandamina pia alikaa Jukwaani kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya URA wiki iliyopita.

Yanga inajiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 14 dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo utakaopigwa Jumapili ijayo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’