Ni zamu ya Dodoma jiji hapo kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2021
Ni zamu ya Dodoma jiji hapo kwa Mkapa

Mpaka sasa Yanga imeweka rekodi ya kupata ushindi kwa asilimia 100% katika michezo yake ya nyumbani iliyopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye ligi kuu ya NBC

Geita Gold, Ruvu Shooting, Azam Fc na Biashara United zote zimekumbana na kipigo kutoka kwa Wananchi hapo 'Lupaso'

Ijumaa Yanga itafunga mwaka 2021 kwa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji mchezo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku

Wananchi wamedhamiria kufunga mwaka kwa ushindi kabla ya safari yao kuelekea visiwani Zanzibar ambapo watakuwa na kazi ya kutetea taji la Mapinduzi waliloshinda msimu uliopita

Utakuwa mchezo mgumu wenye ushindani kwani Dodoma Jiji nao wamejipambanua kwa kuwa na kikosi bora msimu huu

Hata hivyo ili uweze kuwa bingwa unapaswa kushinda mechi ngumu, kazi ambayo Yanga mpaka sasa wanaifanya kwa mafanikio

Katika michezo 10, wameshinda nane na kutoka sare michezo miwili, alama 26 juu kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’