Yanga vs Biashara United 'Boxing Day'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2021
Yanga vs Biashara United 'Boxing Day'

Baada ya shamrashamra za XMas hapo kesho, siku ya Jumapili, Wananchi watashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons wiki iliyopita, wachezaji wa Yanga wamepatga muda wa kutosha kufanya maandalizi huku wale waliokuwa wagonjwa afya zao zikiimarika

Ni Disemba 26, siku ya kufungua zawadi, mashabiki wa yanga wanatarajia kufungua zawadi ya ushindi mnono kutoka kwa timu yao

Yanga itafunga mwaka kwa mechi zake mbili kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwani baada ya mchezo dhidi ya Biashara United, watashuka tena dimbani Disemba 31 kuikabili Dodoma Jiji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’