Yanga Princess kuanza msako wa ubingwa Dodoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2021
Yanga Princess kuanza msako wa ubingwa Dodoma

Kikosi cha kinadada wa Yanga Princess wako mkoani Dodoma ambapo leo wanaanza msimu wa ligi kuu ya Wanawake 2021/22 kwa kuikabili Baobab Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Jamhuri

Baada ya kuukosa ubingwa msimu uliopita kwa tofauti ya alama moja dhidi ya Simba Queens, kinadada wa Yanga Princess wamedhamiria kushinda ubingwa wao wa kwanza msimu huu

Edna Lema amerejea katika nafasi ya Kocha Mkuu na leo atawaongoza vijana wake akisaidiwa na mkongwe Mohammed Hussein 'Mmachinga'

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
19m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’