Wananchi kufunga mwaka Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2021
Wananchi kufunga mwaka Dar

Baada ya ushindi wa kibabe kule mkoani Rukwa kwa kuwachapa maafande wa Tanzania Prisons mabao 2-1 hapo jana, kikosi cha Yanga kinarejea Dar es salaam kwa ajili ya mechi mbili za kufunga mwaka

Disemba 26 watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Biashara United na watarejea tena katika uwanja huo kuikabili Dodoma Jiji, Disemba 31

Aidha Yanga itasherehea sikukuu XMas ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi. Wananchi wamefikisha alama 23 baada ya kushuka dimbani mara tisa

Watani zao Simba wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama 18, baada ya mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa, watacheza tena Disemba 24 dhidi ya KMC mchezo ambao KMC wameupeleka uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mkoani Tabora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’