Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Simba kwenye eneo la kuingilia jukwaa la watu maarufu uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa watani wa jadi uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo

ADVERTISE HERE