Yanga kuanza maandalizi ya msimu mpya Jumanne

Admin By Admin
β€’
11 Jul 2017
Yanga kuanza maandalizi ya msimu mpya Jumanne
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuanza maandalizi ya msimu mpya wa VPL kesho Jumanne ikiwa pia ni maandalizi ya mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Simba, Agosti 19 mwaka huu.

Aidha kulingana na taarifa iliyotolewa mchana wa leo Jumatatu na Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh timu ilitakiwa kuanza mazoezi leo lakini baadhi ya wachezaji wamechelewa kurejea kutoka mapumziko.

Pia kocha George Lwandamina amesisitiza ni lazima kila mchezaji afanyiwe vipimo vya afya kabla ya kuanza program za mazoezi.

Ametoa muda kwa wachezaji waliochelewa kufanyiwa vipimo kabla ya kuanza program hizo kesho.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’