GSM wameshusha bidhaa mpya kama miavuli, scarf, mabegi, vikombe, barakoa na nyingine nyingi kwa ajili ya Wananchi
Bidhaa hizo tayari zinapatikana kwenye maduka ya GSM pamoja na Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam


ADVERTISE HERE