Ni sharti la mkataba, nembo ya GSM lazima ikae kwenye jezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2021
Ni sharti la mkataba, nembo ya GSM lazima ikae kwenye jezi

Kama mnavyofahamu, hivi karibuni GSM walisaini mkataba na TFF kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu wakiweka kitita cha Tsh Bilioni 2.1 kwa miaka miwili

Kama sehemu ya makubaliano ya kimkataba, nembo ya GSM inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi za timu zote

Hata wale walioanzisha mijadala ya 'Fair Competiton' kupitia wale wachambuzi wao, wanapaswa kuvaa nembo hiyo

Timu ambayo haitavaa nembo ya mdhamini itapigwa faini ya hadi Tsh Milioni tatu kwa mechi na adhabu ya juu zaidi ni kushushwa daraja!

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’