Tumejipanga, tukutane uwanjani - Mwakalebela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2021
Tumejipanga, tukutane uwanjani - Mwakalebela

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Lugano Mwakalebela amesema maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Simba siku ya Jumamosi yanakwenda vizuri

Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, Yanga imerejea mazoezini leo Avic Town kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa Disemba 11

Mwakalebela amesema wanajivunia ubora wa timu yao msimu huu hivyo hawana hofu yoyote kuelekea mchezo dhidi ya Simba kwani watashinda

"Maandalizi yanaendelea vizuri, timu imerejea mazoezini, tunakamilisha maandalizi kabla mchezo Jumamosi. Sisi Tuko vizuri, hawatuwezi, tunawasubiri uwanjani tuwaonyeshe, " alisema Mwakalebela

Mwakelebela amesema msimu huu wamejipanga kuhakikisha wanatwaa ubingwa hivyo ushindi katika mchezo dhidi ya Simba ni muhimu katika kutimiza malengo yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’