Nawaombea mshinde ubingwa wa ligi kuu - Msuva

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Nov 2021
Nawaombea mshinde ubingwa wa ligi kuu - Msuva

Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania Saimon Msuva jana alipata nafasi ya kutembelea kambi ya Yanga Avic Town, Kigamboni ambapo pia alipata wasaa wa kuzungumza na wachezaji wenzake

Msuva aliyeitumikia Yanga kwa mafanikio kabla ya kusajiliwa na Difaa El Jadida ya Morocco na kisha msimu uliopita kusajiliwa na Wydad Athletic, mabingwa wa ligi kuu ya Morocco, amesema huwa hakosi mechi za Yanga na anawaombea washinde ubingwa wa ligi kuu msimu huu

"Nashukuru kupata nafasi ya kuja kuonana nanyi wachezaji wenzangu, nimekuja kuwatia moyo na kuwatakia kila la kheri"

"Siwezi kusema mengi lakini Yanga ndio timu iliyonifanya niweze kuonekana. Nimekuwa nikiifuatilia Yanga kupitia Azam TV, nawatakia kila la kheri muweze kufanya vizuri kwenye michuano mnayoshiriki hasa kushinda ubingwa wa ligi kuu," alisema Msuva

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’