Takwimu za mabao Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2021
Takwimu za mabao Yanga

Feisal Salum 'Fei Toto' ndiye kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga akiwa amefunga mabao matatu

Wacongomani Fiston Mayele na Jesus Moloko kila mmoja amefunga mabao mawili wakati Djuma Shabani, Mukoko Tonombe na Saido Ntibazonkiza kila mmoja amefunga bao 1

Yanga ndio timu iliyofunga mabao mengi baada ya kukamilika mzunguuko wa sita baada ya kuweka kambani mabao 10 huku wakiruhusu mabao mawili kutikisa nyavu zao

Mbeya City, Polisi Tanzania na Mbeya Kwanza zimefunga mabao saba wakati Simba ikiwa imefunga mabao sita

Mbeya Kwanza itachuana na Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuu ambao utapigwa Novemba 30 kwenye uwanja wa Sokoine

Yanga imefunga bao katika kila mchezo waliocheza msimu huu ambao haijaruhusu bao katika michezo minne

Imeruhusu mabao mawili katika michezo dhidi ya Ruvu Shooting na Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’