Aucho arejea, awaziba midomo 'wazushi'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2021
Aucho arejea, awaziba midomo 'wazushi'

Kiungo fundi wa Yanga Khalid Aucho amerejea nchini leo kuendelea na majukumu yake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya kupona majeraha

Aucho alipata majeraha akiwa na timu ya Taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Mali

Kutoonekana kwake kikosini kwa wiki kadhaa kuliwapa nafasi 'wazushi' kusambaza taarifa za uongo kuhusu kiungo huyo fundi haswa wa kulisakata gozi la n'gombe

Aucho amewahakikishia Wananchi kuwa hana tatizo lolote na Yanga kilichokuwa kimemuweka nje ni majeraha aliyokuwa amepata

"Sina Tatizo na Yanga Sc. siendi popote, nina mkataba na Yanga nafurahia maisha yangu hapa,” alisema Aucho

Aucho alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga hivyo bada ana muda mrefu kuendelea kuwatumikia Wananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’