Madaraka Nyerere apata uzi mpya wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2021
Madaraka Nyerere apata uzi mpya wa Yanga

Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa,Β  Hayati Julius Kambarage Nyerere leo alikabidhiwa jezi mpya ya Yanga na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla

Ni ahadi ambayo Dk Msolla alimpa baada ya kumuona Madaraka amevalia uzi wa Yanga wa msimu uliopita

Mwalimu Nyerere alikuwa mmoja wa Wanachama wa mwanzo kabisa wa klabu ya Yanga, haishangazi familia yake ni 'Wananchi'

Yanga ina historia ya kipekee na nchi hii, imeshiriki mapambano ya kupigania uhuru wa Tanganyika na nchi nyingine barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
50m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’