Kama ulivyo utamaduni, wakiwa mkoani Lindi viongozi wa Yanga wametembelea kituo cha kulelea watoto kiitwacho Tumaini na kituo cha kulelea wazee vilivyopo mkoani Lindi na kutoa misaada mbalimbali
Ni utamaduni wa Yanga katika kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye maisha ya wale wenye mahitaji




ADVERTISE HERE