Mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne amerejea nchini baada ya kutibiwa Tunisia
Yacouba alifanyiwa upasuaji wa goti baada ya kuumia kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo ambao Yanga ilishinda mabao 3-1
Nyota huyo raia wa Burkina Faso amerejea kuuguza jeraha akitarajiwa kuwa nje ya dimba kwa miezi mitano
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa matibabu yake yalikuwa ya mafanikio hivyo wanatarajia hatakaa nje muda mrefu sana
ADVERTISE HERE