Wananchi wa Lindi, Mtwara timu yenu inakuja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2021
Wananchi wa Lindi, Mtwara timu yenu inakuja

Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Yanga mikoa ya Lindi, Mtwara na maeneo ya jirani wameaswa kuipokea timu yao kuelekea mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Namungo Fc

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Novemba 20 kwenye uwanja wa Ilulu

Yanga inatarajiwa kutua mkoani Mtwara kesho ambapo wataweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea Lindi

Kila mchezo msimu huu ni fainali, hivyo Wananchi wa mikoa ya Kusini ni zamu yao kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu na muhimu zaidi ni kuhakikisha alama zote tatu zinapatikana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’