Mshambuliaji wa Yanga yacouba Songne yuko Tunisia anakotibiwa majeraha ya goti
Uongozi wa Yanga umetoa taarifa kuwa mchezaji huyo alifanyiwa upasuaji wa goti uliokuwa na mafanikio hapo jana
Yacouba anatarajiwa kuwa nje kwa muda mfupi

Kila la kheri katika matibabu huko Tunisia..!
ADVERTISE HERE