Kikosi cha Stars kitakachoikabili DR Congo, Madagascar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2021
Kikosi cha Stars kitakachoikabili DR Congo, Madagascar

Kikosi cha Wachezaji wa Taifa Stars kitakachocheza mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Madagascar, kimetangazwa

Wachezaji sita wa Yanga Ramadhani Kabwili, Kibwana Shomari, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Feisal Salum na Zawadi Mauya wamejumuishwa katika kikosi hicho

Mchezo wa kwanza dhidi ya DR Congo utapigwa Novemba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kusafiri Madagascar kwa ajili ya mchezo wa kukamilisha hatua ya makundi Novemba 14

Tanzania inaongoza kundi J ikiwa na alama saba sawa na Benin, Stars ikiwa juu kwa faida ya mabao ya kufunga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’