Saido 'amekiwasha' dhidi ya JKT Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Oct 2021
Saido 'amekiwasha' dhidi ya JKT Tanzania

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza jana alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania katika uwanja wa Avic Town, Kigamboni

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0, Saido alionyesha kiwango bora akionekana kumvutia kocha Nasreddine Nabi ambaye alimtumia kama mchezaji kiongozi

Hata bao alilofunga Yusufu Athumani lilitokana na pasi ya nyota huyo wa Kimataifa wa Burundi

Pengine Wananchi wanaweza kumshuhudia katika mchezo ujao dhidi ya Azam Fc  ambao utapigwa Oktoba 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’