Happy Birthday Ninja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2021
Happy Birthday Ninja

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi kisiki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja'

Ni msimu wake wa pili na kikosi cha Yanga tangu aliporejea akitokea kule Marekani ambako aliitumikia LA Galaxy kwa miezi sita na baadae kutimkia barani Ulaya

Pamoja na ushindani wa namba uliopo kwenye kikosi cha Yanga, Ninja bado nafasi yake ipo na amefanya vizuri kila alipoaminiwa na benchi la ufundi

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake

HAPPY BIRTHDAY NINJA..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’