Tuzo za TFF kutolewa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2021
Tuzo za TFF kutolewa leo

Tuzo za TFF za msimu uliopita 2020/21 zinatolewa leo ukumbi wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam

Yanga ni miongoni mwa timu zilizotoa wachezaji wanaowania tuzo hizo ambapo Feisal Salum na Mukoko Tonombe wanawania tuzo ya kiungo bora wa ligi kuu wakishindana na Clatous Chama wa Simba

Mukoko pia anawania tuzo ya mchezaji bora wa ligi akishindana na Clatous Chama na John Bocco

Feisal pia ametajwa katika tuzo ya mchezaji bora wa kombe la FA akishindana na Luis Miquissone na John Bocco

Haji Manara ametajwa katika tuzo ya mhamasishaji bora (wakati akiwa Simba) akishindana na Massau Bwire na Bongozozo

Katika tuzo hii wengi wanaamini Antonio Nugaz aliyekuwa Mhamasishaji wa Yanga alistahili kuwemo kwa kuwa katika msimu uliopita Yanga iliongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani

Kwa ligi ya Wanawake, mshambuliaji Aisha Masaka anawania tuzo ya mchezaji bora wa ligi hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’