Zahera aanza kuisuka U20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2021
Zahera aanza kuisuka U20

Mkurugenzi wa Ufundi wa Soka la Vijana Mwinyi Zahera ameanza majukumu yake akianza kuisuka timu ya Vijana U20 akishirikiana na makocha wa timu hiyo Mwanamtwa Kiwhelo na Fred Mbuna

Zahera amesema wameandaa program ambazo zitasaidia kujenga utimamu wa chipukizi hao kuhakikisha wanakuwa katika mlinganyo unaotakikana

Yanga imemrudisha Zahera na kumkabidhi usimamizi wa soka la vijana ili kuhakikisha anarejesha utamaduni wa zamani wa Yanga katika kuandaa wachezaji ambao wanaweza kuinufaisha klabu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’