Huyu Tambwe ana jambo lake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Oct 2021
Huyu Tambwe ana jambo lake

Dirisha dogo la usajili litafunguliwa Disemba 15, 2021 takribani miezi miwili ijayo

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amissi Tambwe kuna jambo analitafuta kwani anaweza kurejea ligi kuu pale dirisha litakalofunguliwa

Ni kutokana na kasi ya kupachika mabao aliyoanza nayo kwenye klabu ya DTB Fc inayoshiriki Championship

Tambwe amefunga katika kila mchezo aliocheza jana akifunga moja ya mabao katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya African Sport

Sasa amefunga mabao sita katika michezo mitatu aliyoshiriki

Ukimfuatilia Tambwe utabaini mwamba huyu ubora wake katika kuzifumania nyavu bado upo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’