Wachezaji 24 kuifuata KMC Songea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2021
Wachezaji 24 kuifuata KMC Songea

Wachezaji 24 na viongozi name kutoka benchi la ufundi wanatajiwa kuodoka Dar es Salama kesho Alfajiri kuelekea Songea tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC .

Wachezaji wanaotarajia kusafiri na timu ni pamoja na Ditram Nchimbi, Bakari Nondo,Yanick Bangala, Dickson Job, Feisal Salum, Mukoko Tomombe, Khalid Aucho, Fiston Mayele na Jesus Moloko

Wengine ni Yacouba Songne, Ramadhani Kabwili, Paul Godfrey, Kibwana Shomari, Farid Muda na Heritier Makambo

Pia wamo Zawadi Mauya, Djuma Shabani, David Bryson, Abdallah Shaibu, Djigui Diarra, Adeyun Saleh, Deus Kaseke, Erick Johola na Yusuf Athuman.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
56m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’