Tumejipanga kushinda dhidi ya KMC - Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2021
Tumejipanga kushinda dhidi ya KMC - Mwamnyeto

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amesema wamejipanga kuhakikisha wanashinda mchezo dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumanne ijayo katika uwanja wa Majimaji, Songea

Mwamnyeto amesema timu imepata muda wa kutosha wa kufanya maandalizi na wachezaji wote wako tayari kwa ajili ya mchezo huo

"Tumejiandaa vizuri, tumepata muda wa kutosha kufanya maandalizi, lengo letu ni kuhakikisha tunashinda mchezo huo. Kila mchezo msimu huu kwetu ni fainali," alisema Mwamnyeto

Wachezaji Fiston Mayele, Farid Mussa na Adeyum Saleh wamewataka mashabiki wa Yanga Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo kuwaunga mkono

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’