Nugaz amekosekana vipi tuzo ya Mhamasishaji?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2021
Nugaz amekosekana vipi tuzo ya Mhamasishaji?

Katika tuzo ambazo TFF watatoa Oktoba 21, ipo tuzo ya Mhamasishaji bora ambayo itatolewa kwa mara ya kwanza msimu huu

Waliotajwa kuwania tuzo hiyo Haji Manara, Massau Bwire na Bongo Zozo huku jina la aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz likikosekana

Maswali yamekuwa mengi, kwa TFF, ni vigezo gani wametumia kutomjumuisha Nugaz na kumuweka Bongozozo?

Bongozozo anafahamika kazi yake kubwa ya uhamasishaji anaifanya katika timu ya Taifa lakini tuzo zinazotolewa ni kwa ajili ya ligi kuu msimu wa 2020/21

Labda kama TFF wanaweza kutoa ufafanuzi tofauti lakini ni wazi Nugaz alipaswa kuwa katika orodha ya wahamasishaji wanaowania tuzo

Msimu uliopita Yanga iliongoza kwa kuingiza mashabiki viwanjani pamoja na mapato yatokanayo na mashabiki hao

Lakini la kushangaza Nugaz ambaye alikuwa Afisa Mhamasishaji wakati ule hajaingia katika miongoni mwa wanaowania tuzo ya Uhamasishaji...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’