Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Mapinduzi Balama
Majeraha yamemuweka fundi huyu nje ya uwanja kwa zaidi ya mwaka mmoja
Ni faraja kusikia amepona sasa akiendelea kuimarisha utimamu wa mwili kabla ya kuanza kutumika kikosini
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY BALAMA...!
ADVERTISE HERE