David Bryson huyu ndio beki-winga sasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2021
David Bryson huyu ndio beki-winga sasa

Jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0, mlinzi wa kushoto David Bryson alionyesha kiwango bora sana

Bryson alionyesha umahiri wake wakati timu inaposhambulia. Yanga ilitengeneza mashambulizi mengi kupitia upande wake

Alipiga krosi, mipira ya adhabu na hata kujaribu mashuti ya mbali pale alipopata nafasi

Huyu ni mlinzi wa kushoto ambaye msimu uliopita akiwa na KMC alifunga mabao matano, ni mchezaji mwenye uthubutu

Katika mchezo wake wa kwanza, Bryson ameonyesha tofauti kubwa na pengine kama ataendelea katika ubora huu, anaweza kuwa chaguo la kwanza kwenye safu ya ulinzi upande wa kushoto

Bryson atampa mtihani Nasreddine Nabi kama aendelee kumtumia Kibwana Shomari upande wa kushoto au amtumie Bryson ambaye yeye ni sahihi zaidi kwa sababu anatumia mguu wa kushoto

Kuimarika kwa wachezaji na ushindani uliopo ni faida kwa timu kwani ushindani unaongeza uimara wa kikosi

Pale inapotokea hakuna mchezaji mwenye uhakika wa namba, anapopewa nafasi anajituma zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’