Bodi ya Ligi Kuu imekubali maombi ya klabu ya KMC kuupeleka Songea mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya KMC dhidi ya Yanga ambao utapigwa Oktoba 19

ADVERTISE HERE